Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 24:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Wala hawawezi kuyathubutisha mambo haya wanayonishitaki sasa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayoleta dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Wala hawawezi kabisa kukuthibitishia mashtaka haya wanayonishtaki kwayo.

Tazama sura Nakili




Matendo 24:13
4 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokuja Wayahudi walioshuka kutoka Yerusalemi wakasimama karibu yake wakaleta mashitaka mengi na mazito juu yake, wasiyoweza kuyathuhutisha.


mkiwa na dhamiri njema, illi katika neno lile mnalosingiziwa kwamba m watenda mabaya, wataha yarishwe wale wautukanao mwenendo wenu mwema katika Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo