Matendo 24:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Watu hawa hawakuniona ndani ya hekalu, nikihujiana na mtu, wala nikifanya fujo katika mkutano, wala katika masunagogi wala ndani ya mji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana na mtu yeyote. Hawakunikuta nikichochea watu hekaluni, wala katika masunagogi yao, wala mahali pengine popote katika mji huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu yeyote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine popote mjini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hawa wanaonishtaki hawakunikuta nikibishana na mtu yeyote Hekaluni au kuchochea umati wa watu katika sinagogi au mahali pengine popote mjini. Tazama sura |