Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika na roho: bali Mafarisayo hukiri yote mawili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kisa chenyewe kilikuwa hiki, Masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki hayo yote matatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kisa chenyewe kilikuwa hiki, Masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki hayo yote matatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kisa chenyewe kilikuwa hiki, Masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo. Lakini Mafarisayo husadiki hayo yote matatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 (Kwa maana Masadukayo wanasema kwamba hakuna ufufuo, wala hakuna malaika au roho, lakini Mafarisayo wanaamini haya yote.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 (Kwa maana Masadukayo wanasema kwamba hakuna ufufuo, wala hakuna malaika au roho, lakini Mafarisayo wanaamini haya yote.)

Tazama sura Nakili

Matendo 23:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Siku ile Masadukayo, watu wanenao kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,

Na Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hapana kiyama, wakamwendea,

Kiisha baadhi ya Masadukayo wakamwendea, watu wanenao ya kwamba hakuna kiyama: wakamwuliza, wakinena,

Alipokwisha kunena hayo palikuwa na fitina beina ya Mafarisayo na Masadukayo, mkutano ukagawanyika.

HATTA walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na akida wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,

Bassi, ikiwa Kristo amekhubiriwa kwenu ya kwamba amefufuka, mbona wengine wenu wasema kwamba hakuna kiyama ya wafu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo