Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Alipokwisha kunena hayo palikuwa na fitina beina ya Mafarisayo na Masadukayo, mkutano ukagawanyika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali ulitokea kati ya Mafarisayo na Masadukayo na mkutano ukagawanyika sehemu mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Aliposema haya, kukazuka mabishano kati ya Mafarisayo na Masadukayo, na baraza lote likagawanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Aliposema haya, farakano likaanza kati ya Mafarisayo na Masadukayo na baraza lote likagawanyika.

Tazama sura Nakili




Matendo 23:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Msidhani ya kuwa nalikuja kueneza amani duniani; la! sikuja kueneza amani, bali upanga.


Lakini jamii ya watu wa mjini wakagawanyikana: bawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa Mitume.


Paolo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Mafarisayo, na sehemu ya pili Masadukayo, akapaaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo, mwana wa Farisayo: mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.


Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika na roho: bali Mafarisayo hukiri yote mawili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo