Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Paolo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni kuhani mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kama yeye ni kuhani mkuu. Maana Maandiko yasema hivi: ‘Usiseme vibaya juu ya mtawala wa watu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kama yeye ni kuhani mkuu. Maana Maandiko yasema hivi: ‘Usiseme vibaya juu ya mtawala wa watu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kama yeye ni kuhani mkuu. Maana Maandiko yasema hivi: ‘Usiseme vibaya juu ya mtawala wa watu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye alikuwa kuhani mkuu. Kwa maana imeandikwa, ‘Usimnenee mabaya kiongozi wa watu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye alikuwa kuhani mkuu. Kwa maana imeandikwa, ‘Usimnenee mabaya kiongozi wa watu wako.’ ”

Tazama sura Nakili

Matendo 23:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wale waliosimama karibu wakasema, Je! unamtukana kuhani mkuu wa Mungu?

Baada ya miaka mingi nalifika niwaletee watu wa taifa langu sadaka na matoleo.

na khassa wale waufuatao mwili katika tamaa ya mambo machafu, na kudharau mamlaka. Wenye ushupavu, wenye kujikinai, hawatetemeki wakiyatukana matukufu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo