Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Wale waliosimama karibu wakasema, Je! unamtukana kuhani mkuu wa Mungu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Watu waliokuwa wamesimama pale wakamwambia Paulo, “Unamtukana kuhani mkuu wa Mungu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wale watu waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wakamwambia, “Je, wewe wathubutu kumtukana kuhani mkuu wa Mungu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wale watu waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wakamwambia, “Je, wewe wathubutu kumtukana kuhani mkuu wa Mungu?”

Tazama sura Nakili

Matendo 23:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu.

Ndipo Paolo akamwambia, Mungu atakupiga wewe, ukuta uliopakwa chokaa. Wewe umeketi kunihukumu sawasawa na sharia, nawe unaamuru nipigwe kinyume cha sharia?

Paolo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni kuhani mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo