Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Nitakusikia maneno yako watakapokuja wale waliokushitaki; akaamuru alindwe katika praitorio ya Herode.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 akasema, “Nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa Herode.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 akasema, “Nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa Herode.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 akasema, “Nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa Herode.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 alisema, “Nitasikiliza kesi yako washtaki wako watakapofika hapa.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi kwenye jumba la kifalme la Herode.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 alisema, “Nitasikiliza shauri lako washtaki wako watakapofika hapa.” Kisha akaamuru Paulo awekwe chini ya ulinzi kwenye jumba la kifalme la Herode.

Tazama sura Nakili




Matendo 23:35
14 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Bassi Herode, akiona ya kuwa amedhihakiwa na majusi, akaghadhabika sana, akatuma watu kuwaua watoto wote wanawaume waliokuwa Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wa miaka miwili na waliopungua, kwa muda aliouhakiki kwa majusi.


Mfalme Herode aliposikia haya, akafadhaika, na Yerusalemi pia pamoja nae.


Ndipo askari wa liwali wakamchukua Yesu ndani ya praitorio, wakamkusanyia kikosi kizima.


Bassi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa hatta Praitorio; ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya Praitorio, wasije wakatiwa najis, bali waile Pasaka.


Hatta nilipopewa khabari kwamba patakuwa na vitimbi juu ya mtu huyu, marra nikampeleka kwako, nikawaagiza na wale walioshitaki, wanene khabari zake mbele yako. Salamu.


BAADA ya siku tano, Anania, kuhani mkuu, akatelemka na baadhi ya wazee pamoja nae, na msemi mmoja, Tertullo nao wakamweleza liwali khabari za Paolo.


Na liwali alipompungia mkono illi anene, Paolo akajibu, Kwa kuwa ninajua kama wewe umekuwa mwamuzi wa taifa hili kwa muda wa miaka mingi, najitetea nafsi yangu kwa moyo wa furaha.


Imewapasa hao kuwapo hapa mbele yako na kunishitaki kama wana neno lo lote juu yangu.


Bassi Feliki, alijiokwisha kusikia haya, aliwaakhirisha, kwa sababu alijua khabari za Njia ile kwa usahihi zaidi, akasema, Lusia jemadari, atakapotelemka nitakata maneno yenu.


Akamwamuru yule akida amlinde Paolo; illa awe na nafasi, wala asimkataze mmojawapo wa rafiki zake kumkhudumu au kuja kumtazama.


Nikawajibu kwamba sio desturi ya Warumi kumtoa mtu aliye yote auawe, kabla mtu yule aliyeshitakiwa hajaonana na washitaki wake uso kwa uso, na kupewa nafasi ya kujitetea katika mashitaka yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo