Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 hatta assubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja nae, nao wakarudi zao ngomeni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Kesho yake askari wa miguu walirudi ngomeni, wakawaacha wale askari wapandafarasi waendelee na safari pamoja na Paulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wao wakarudi kwenye ngome ya askari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Kesho yake wakawaacha wale wapanda farasi waendelee na safari wakiwa na Paulo, wao wakarudi kwenye ngome ya askari.

Tazama sura Nakili

Matendo 23:32
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ugomvi mkubwa ulipotokea, yule jemadari akachelea Paolo asije akararuliwa nao, akaamuru askari washuke na kumpokonya mikononi mwao, na kumleta ndani ya ngome.

Mjomba wake Paolo akasikia khabari za kuotea kwao, akaenda akaingia ndani ya ngome akampasha Paolo khabari.

Akaita maakida wawili, akasema, Wekeni tayari askari miateen kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabaini, na wenye mikuki miateen, panapo saa tatu ya usiku.

Bassi, wale askari wakamchukua Paolo kamu walivyoamriwa, wakampeleka hatta Antipatri usiku:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo