Matendo 23:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Bassi, wale askari wakamchukua Paolo kamu walivyoamriwa, wakampeleka hatta Antipatri usiku: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Basi, hao askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Basi, hao askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Basi, hao askari walimchukua Paulo kama walivyoamriwa; wakampeleka usiku uleule mpaka Antipatri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Hivyo askari, kwa kufuata maelekezo waliyopewa, wakamchukua Paulo wakati wa usiku na kumleta hadi Antipatri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Hivyo askari, kwa kufuata maelekezo waliyopewa, wakamchukua Paulo wakati wa usiku na kumleta mpaka Antipatri. Tazama sura |