Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Ndipo Paolo akamwambia, Mungu atakupiga wewe, ukuta uliopakwa chokaa. Wewe umeketi kunihukumu sawasawa na sharia, nawe unaamuru nipigwe kinyume cha sharia?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Basi, Paulo akamwambia, “Mungu mwenyewe atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta uliopakwa chokaa! Unawezaje kukaa hapo ili unihukumu kisheria na huku wewe mwenyewe unaivunja sheria kwa kuamuru nipigwe?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Basi, Paulo akamwambia, “Mungu mwenyewe atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta uliopakwa chokaa! Unawezaje kukaa hapo ili unihukumu kisheria na huku wewe mwenyewe unaivunja sheria kwa kuamuru nipigwe?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Basi, Paulo akamwambia, “Mungu mwenyewe atakupiga kofi wewe uliye kama ukuta uliopakwa chokaa! Unawezaje kukaa hapo ili unihukumu kisheria na huku wewe mwenyewe unaivunja sheria kwa kuamuru nipigwe?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ndipo Paulo akamwambia, “Mungu atakupiga wewe, ewe ukuta uliopakwa chokaa! Wewe umeketi hapo ili kunihukumu kwa mujibu wa sheria, lakini wewe mwenyewe unakiuka sheria kwa kuamuru kwamba nipigwe kinyume cha sheria!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ndipo Paulo akamwambia, “Mungu atakupiga wewe, ewe ukuta uliopakwa chokaa! Wewe umeketi hapo ili kunihukumu kwa mujibu wa sheria, lakini wewe mwenyewe unakiuka sheria kwa kuamuru kwamba nipigwe kinyume cha sheria!”

Tazama sura Nakili

Matendo 23:3
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Anna akampeleka amefungwa kwa Kayafa kuhani mkuu.

Je! sharia yetu humhukumti mtu kabla ya kumsikia kwanza na kujua atendavyo?

Wale waliosimama karibu wakasema, Je! unamtukana kuhani mkuu wa Mungu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo