Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Na nikitaka kuijua sababu hatta wakamshitaki, nikamleta chini nikamweka mbele ya baraza:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Nilimpeleka mbele ya Baraza lao kuu nikitaka kujua kisa cha mashtaka yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya Baraza la Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.

Tazama sura Nakili




Matendo 23:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mimi nawaambiem, Killa amwoneae ndugu yake ghadhabu bila sababu, itampasa hukumu; na mtu akimwambia ndugu yake, Haka, itampasa baraza; na mtu akinena, Mpumbavu, itampasa jebannum ya moto.


Siku ya pili yake akitaka kujua hakika, ni kwa sababu gani ameshitakiwa na Wayahudi, akamfungua, akawaamuru makuhani wakuu na baraza yote waje. Akamleta Paolo chini, akamweka mbele yao.


PAOLO akawakazia macho watu wa baraza, akasema, Ndugu zangu, mimi kwa nia safi kabisa nimeishi mbele za Mungu hatta leo hivi.


Ugomvi mkubwa ulipotokea, yule jemadari akachelea Paolo asije akararuliwa nao, akaamuru askari washuke na kumpokonya mikononi mwao, na kumleta ndani ya ngome.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo