Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, akawa karibu kuuawa nao, nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata khabari ya kuwa yeye ni Mrumi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 “Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 “Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 “Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raia wa Rumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raiya wa Rumi.

Tazama sura Nakili

Matendo 23:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ugomvi mkubwa ulipotokea, yule jemadari akachelea Paolo asije akararuliwa nao, akaamuru askari washuke na kumpokonya mikononi mwao, na kumleta ndani ya ngome.

Na tena alijaribu kuitia hekalu najis: tukamkamata: tukataka kumhukumu kwa sharia yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo