Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Klaudio Lusia kwa liwali il aziz Feliki salamu!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Klaudio Lisia. Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi. Salamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Klaudio Lisia, Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi: Salamu.

Tazama sura Nakili




Matendo 23:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

nimeona vema na mimi, nikiisha kujipatia khabari zilizo sahihi za mambo yote tokea awali, kukuandikia kwa taratibu. Theofilo il-aziz:


Wakaandika hivi kwa mikono yao, Mitume na wazee na ndugu, kwa ndugu zetu walioko Antiokia na Shami na Kilikia, walio wa mataifa, salamu.


Akawaambia kuweka nyama tayari wampandishe Paolo, na kumchukua salama kwa Feliki liwali.


Akaandika barua, kwa nanma hii:


Na wale walipofika Kaisaria, wakampa liwali ile barua, wakamweka Paolo mbele yake. Nae alipokwislia kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa wilaya gani?


Kwa kuwa tunapata amani nyingi chini yako, ee Feliki il aziz, na kwa maangalizo yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili, bassi tunayapokea killa wakati na killa mahali, kwa shukrani yote.


Lakini Paolo akasema, Sina wazimu, ee Festo il-aziz, bali nanena maneno ya kweli na ya akili kamili.


YAKOBO, mtumwa wa Mungu, na Bwana Yesu Kristo, kwa kabila thenashara zilizotawanyika, salamu,


Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo