Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Akaita maakida wawili, akasema, Wekeni tayari askari miateen kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabaini, na wenye mikuki miateen, panapo saa tatu ya usiku.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, “Wekeni tayari askari 200, wapandafarasi sabini na askari 200 wa mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, “Wekeni tayari askari 200, wapandafarasi sabini na askari 200 wa mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Basi, mkuu wa jeshi aliwaita askari wawili akawaambia, “Wekeni tayari askari 200, wapandafarasi sabini na askari 200 wa mikuki, waende Kaisarea; muwe tayari kuondoka kabla ya saa tatu leo usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kisha yule jemadari akawaita viongozi wake wawili wa askari akawaambia, “Jiandaeni kuondoka saa tatu usiku huu kuelekea Kaisaria pamoja na askari mia mbili, wapanda farasi sabini, na watu mia mbili wenye mikuki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kisha yule jemadari akawaita viongozi wake wawili wa askari akawaambia, “Jiandaeni kuondoka saa tatu usiku huu kuelekea Kaisaria pamoja na askari 200, wapanda farasi sabini na watu 200 wenye mikuki.

Tazama sura Nakili

Matendo 23:23
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta zamu ya nne ya usiku Yesu akawaendea, akitembea juu ya bahari.

Na akija kesha la pili au akija kesha la tatu, na kuwakuta hivi, wa kheri watumishi wale.

Bassi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awae yote ya kwamba umeniarifu haya.

Bassi, wale askari wakamchukua Paolo kamu walivyoamriwa, wakampeleka hatta Antipatri usiku:

hatta assubuhi wakawaacha wale wapanda farasi waende pamoja nae, nao wakarudi zao ngomeni.

Na wale walipofika Kaisaria, wakampa liwali ile barua, wakamweka Paolo mbele yake. Nae alipokwislia kuisoma, akawauliza, Mtu huyu ni wa wilaya gani?

Lakini Lusia jemadari akafika, akampokonya mikononi mwetu kwa nguvu, akawaamuru wale waliomshitaki waje kwako.

Filipo akaonekana katika Azoto, na alipokuwa akipita akakhubiri Injili katika miji yote, hatta akafika Kaisaria.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo