Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 23:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Bassi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awae yote ya kwamba umeniarifu haya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu yeyote kwamba umenieleza habari hizi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu yeyote kwamba umenieleza habari hizi.”

Tazama sura Nakili

Matendo 23:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hawa thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akinena, Katika njia ya Mataifa msiende, wala mjini mwa Wasamaria msiingie:

bali enenda zako ukajiouyeshe kwa kuhani ukatoe alivyoamuru Musa kwa kutakasika kwako, illi kuwa ushuhuda kwao.

Bassi kile kikosi na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi wakamkamata Yesu, wakanifunga,

kwa maana watu zaidi ya arubaini wanamwotea, wamejifunga kwa kiapo wasile wala wasinywe hatta watakapomwua; nao sasa wako tayari, wakiitazamia ahadi kwako.

Akaita maakida wawili, akasema, Wekeni tayari askari miateen kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabaini, na wenye mikuki miateen, panapo saa tatu ya usiku.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo