Matendo 23:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Kuhani akawaamuru wale waliosimama karibu kumpiga kinywa chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Hapo kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wampige kofi mdomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa ajili ya jambo hili kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa karibu na Paulo wampige kofi kinywani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa ajili ya jambo hili kuhani mkuu Anania akaamuru wale waliokuwa karibu na Paulo wampige kofi kinywani. Tazama sura |