Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Paolo akamwita akida mmoja, akasema, Mchukue huyu kwa jemadari; maana ana neno la kumwarifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hapo Paulo akamwita mmoja wa maaskari, akamwambia, “Mchukue kijana huyu kwa mkuu wa jeshi; ana kitu cha kumwambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hapo Paulo akamwita mmoja wa maaskari, akamwambia, “Mchukue kijana huyu kwa mkuu wa jeshi; ana kitu cha kumwambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hapo Paulo akamwita mmoja wa maaskari, akamwambia, “Mchukue kijana huyu kwa mkuu wa jeshi; ana kitu cha kumwambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndipo Paulo akamwita mmoja wa viongozi wa askari, akamwambia, “Mpeleke huyu kijana kwa jemadari, ana jambo la kumweleza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndipo Paulo akamwita mmoja wa viongozi wa askari, akamwambia, “Mpeleke huyu kijana kwa jemadari, analo jambo la kumweleza.”

Tazama sura Nakili




Matendo 23:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.


Bassi kile kikosi na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi wakamkamata Yesu, wakanifunga,


Yule akida aliposikia, akaenda akamwarifu yule jemadari, akisema, Unataka kufanya nini? kwa maana mtu huyu ni Mrumi.


Mjomba wake Paolo akasikia khabari za kuotea kwao, akaenda akaingia ndani ya ngome akampasha Paolo khabari.


Bassi akamchukua, akampeleka kwa jemadari, akamwambia, Paolo, yule mfungwa, aliniita akataka nikuletee kijana huyu kwa kuwa ana neno la kukuambia.


Akaita maakida wawili, akasema, Wekeni tayari askari miateen kwenda Kaisaria, na askari wapanda farasi sabaini, na wenye mikuki miateen, panapo saa tatu ya usiku.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo