Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 23:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Na hao walioapiana hivyo walipata watu arubaini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Watu zaidi ya arubaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Waliofanya mpango huo walikuwa zaidi ya watu arobaini.

Tazama sura Nakili




Matendo 23:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Watawaharamisha masunagogi: naam, saa inakuja, atakapodhani killa mtu awauae kuwa amtolea Mungu ibada.


Kulipopambazuka, baadhi ya Wayahudi wakafanya mapatano, wakajifunga kwa kiapo wakisema. Hatuli wala hatunywi hatta tutakapokwisha kumwua Paolo.


Nao wakaenda kwa makuhani wakuu na wazee, wakasema, Tumejifunga kwa kiapo, tusionje kitu hatta tutakapomwua Paolo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo