Matendo 23:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Kulipopambazuka, baadhi ya Wayahudi wakafanya mapatano, wakajifunga kwa kiapo wakisema. Hatuli wala hatunywi hatta tutakapokwisha kumwua Paolo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kulipokucha, Wayahudi walifanya kikao cha faragha. Wakala kiapo: “Hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua Paulo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kulipokucha, Wayahudi walifanya kikao cha faragha. Wakala kiapo: “Hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua Paulo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kulipokucha, Wayahudi walifanya kikao cha faragha. Wakala kiapo: “Hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua Paulo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kulipopambazuka Wayahudi wakapanga njama pamoja na kujifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala kunywa hadi wawe wamemuua Paulo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kulipopambazuka Wayahudi wakafanya shauri pamoja na kujifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala kunywa mpaka wawe wamemuua Paulo. Tazama sura |