Matendo 22:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, wakaingia khofu, illakini hawakuisikia ile sauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi wale watu waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia sauti ya yule aliyekuwa akisema nami. Tazama sura |