Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 22:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhdhuhuri, ghafula nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 “Basi, nilipokuwa njiani karibu na kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwanga mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 “Basi, nilipokuwa njiani karibu na kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwanga mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 “Basi, nilipokuwa njiani karibu na kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwanga mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “Nilipokuwa njiani kuelekea Dameski, yapata saa sita mchana, ghafula nuru kubwa kutoka mbinguni ikanimulika kotekote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “Nilipokuwa njiani kuelekea Dameski, yapata saa sita mchana, ghafula nuru kubwa kutoka mbinguni ikanimulika kotekote.

Tazama sura Nakili

Matendo 22:6
11 Marejeleo ya Msalaba  

akageuka sura yake mbele yao: uso wake ukangʼaa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.

Nikaanguka chini, nikasikia sauti ikiniambia, Saul, Saul, Mbona unaniudhi?

Pakawa makelele mengi. Waandishi wa upande wa Mafarisayo wakasimama, wakamtetea, wakisema, Hatuoni uovu wo wote katika mtu huyu; bali ikiwa roho au malaika amesema nae tusishindane na Mungu.

na mwisho wa watu wote, alionekana na mimi, kama nae aliyezaliwa si kwa wakati wake.

Nae alikuwa na nyota saba katika mkono wake wa kuume: na upanga mkali, mkali kuwili, watoka katika kinywa chake; na uso wake kama jua likingʼaa kwa nguvu zake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo