Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 22:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 nikawaudhi watu wa Njia hii kiasi cha kuwaua, nikawafunga, nikiwatia gerezani, wanaume na wanawake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Niliwatesa wafuasi wa Njia hii hadi kufa, nikiwakamata wanaume na wanawake, na kuwatupa gerezani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Niliwatesa watu wa Njia hii hadi kufa, nikiwakamata waume kwa wake na kuwatupa gerezani,

Tazama sura Nakili




Matendo 22:4
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akamfuata Paolo na sisi, akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kutukhubiri njia ya wokofu.


Akaanza kunena bila khofu katika sunagogi: hatta Akula na Priskilla walipomsikia wakamchukua kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi.


Hatta wakati huo kukatukia ghasia si haba katika khabari ya Njia ile.


Lakini wengine walikaidi, wakakataa kuamini, wakiitukana ile Njia mbele ya mkutano; bassi, akaondoka akawaacha, akawatenga wanafunzi nao, akahujiana na watu killa siku katika darasa ya mtu mmoja, jina lake Tyranno.


Illa neno hili naliungama kwako ya kwamba kwa Njia ile ambayo waiita uzushi, ndivyo ninavyomwabudu Mungu wa baba zetu, nikiyaamini yote yanayopatana na torati na yaliyoandikwa katika vyuo vya manabii.


wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.


Na wote waliosikia wakashangaa, wakasema, Siye huyu aliyewateka walioliita Jina hili Yerusalemi? Na hapa amekuja kusudi hili, awafunge na kuwapeleka kwa makuhani wakuu?


Maana mimi mdogo katika mitume, nisiyestahili kutajwa mtume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.


Maana mmesikia khabari za mwenendo wangu zamani katika dini ya Kiyahudi, kwamba naliliudhi kanisa la Mungu kupita kiasi nikaliharibu,


kwa jinsi ya haki ipatikanayo kwa sharia sikuwa na khatiya.


Na wengi watafuata jeuri zao; kwa hawo njia ya kweli itanenwa unajisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo