Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 22:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Jemadari akajibu, Mimi nalipata wenyeji huu kwa ras-il-mali nyingi. Paolo akasema, Na mimi nalizaliwa katika hali hiyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mkuu wa jeshi akasema, “Mimi nami nimekuwa raia wa Roma kwa kulipa gharama kubwa.” Paulo akasema, “Lakini mimi ni raia wa Roma kwa kuzaliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mkuu wa jeshi akasema, “Mimi nami nimekuwa raia wa Roma kwa kulipa gharama kubwa.” Paulo akasema, “Lakini mimi ni raia wa Roma kwa kuzaliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mkuu wa jeshi akasema, “Mimi nami nimekuwa raia wa Roma kwa kulipa gharama kubwa.” Paulo akasema, “Lakini mimi ni raia wa Roma kwa kuzaliwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ndipo yule jemadari akasema, “Mimi ilinigharimu kiasi kikubwa cha fedha kupata uraia wangu.” Paulo akasema “Lakini mimi ni raia wa Rumi kwa kuzaliwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ndipo yule jemadari akasema, “Mimi ilinigharimu kiasi kikubwa cha fedha kupata uraia wangu.” Paulo akasema “Lakini mimi ni raiya wa Rumi kwa kuzaliwa.”

Tazama sura Nakili

Matendo 22:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

Jemadari akaja, akamwambia, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndio.

Bassi wale waliokuwa tayari kumwuliza wakaondoka wakamwacha. Na yule jemadari nae akaogopa, alipojua ya kuwa ni Mrumi, na kwa sababu amemfunga.

kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni, wasio wa maagano ya ahadi; mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.

Bassi tangu sasa ninyi si wapitaji wala wageni, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumba ya Mungu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo