Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 22:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Jemadari akaja, akamwambia, Niambie, u Mrumi? Akasema, Ndio.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Basi, mkuu wa jeshi alimwendea Paulo, akamwambia, “Niambie; je, wewe ni raia wa Roma?” Paulo akamjibu, “Naam.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Yule jemadari akaja akamuuliza Paulo, “Niambie, wewe ni raia wa Rumi?” Paulo akajibu, “Naam, hakika.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Yule jemadari akaja akamuuliza Paulo, “Niambie, wewe ni raiya wa Rumi?” Paulo akajibu, “Naam, hakika ndiyo.”

Tazama sura Nakili




Matendo 22:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi kile kikosi na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi wakamkamata Yesu, wakanifunga,


Hatta walipokwisha kumfunga kwa kamba, Paolo akamwambia akida aliyesimama karibu, Je! ni halali kumpiga mtu Mrumi nae hajahukumiwa bado?


Yule akida aliposikia, akaenda akamwarifu yule jemadari, akisema, Unataka kufanya nini? kwa maana mtu huyu ni Mrumi.


Jemadari akajibu, Mimi nalipata wenyeji huu kwa ras-il-mali nyingi. Paolo akasema, Na mimi nalizaliwa katika hali hiyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo