Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 22:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Nae akaniambia, Enenda zako; kwa kuwa mimi nitakutuma mbali kwa watu wa mataifa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Naye Bwana akaniambia, ‘Nenda; nitakutuma mbali kwa mataifa mengine.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 “Ndipo Bwana Isa akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 “Ndipo Bwana Isa akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ”

Tazama sura Nakili




Matendo 22:21
15 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi hawa walipokuwa wakimkhudumia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Niwekeeni Barnaba na Saul kwa kazi ile niliyowaitia.


Walipopingamana nae na kutukana, akakungʼuta mavazi yake, akawaambia, Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu: mimi ni safi: langu sasa nitakwenda kwa watu wa mataifa.


Lakini Bwana akamwambia, Shika njia; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.


ambae katika yeye tulipokea neema na utume illi mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake;


Lakini nasema na ninyi, watu wa mataifa. Kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa mataifa, naifukuza khuduma iliyo yangu.


illi niwe kuhani wa Yesu Kristo katika watu wa mataifa, niifanyie Injili ya Mungu kazi ya ukuhani, kusudi mataifa wawe sadaka yenye kibali, ikiisha kutakaswa na Roho Mtakatifu.


ikadhihirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii, ikajulika na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, illi waitii imani;


ya kwamba kwa kufunuliwa nalijulishwa siri ile, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache,


kwa ajili ya huo naliwekwa niwe mkhubiri na mtume (nasema kweli katika Kristo, sisemi uwongo), mwalimu wa mataifa katika imani na kweli.


aliyonifauya mkhubiri na mtume na mwalimu wa mataifa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo