Matendo 22:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Waliposikia kwamba anasema nao kwa lugha ya Kiebrania wakazidi kunyamaza: akanena, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Waliposikia akisema kwa lugha ya Kiebrania, wakanyamaza kabisa. Ndipo Paulo akasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Waliposikia akisema kwa lugha ya Kiebrania, wakanyamaza kimya kabisa. Ndipo Paulo akasema, Tazama sura |