Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 22:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fakhari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikafika Dameski.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa kuwa nilikuwa siwezi kuona kwa ajili ya mng’ao wa ile nuru, wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza kuingia Dameski.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa kuwa nilikuwa siwezi kuona kwa ajili ya mng’ao wa ile nuru, wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza kuingia Dameski.

Tazama sura Nakili

Matendo 22:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, kama mwili wako wote nna nuru, tena kama hanna sehemu iliyo na giza, mwili wako utakuwa na nuru kabisa kama vile taa ikumulikiavyo kwa mwangaza wake.

Bassi, angalia, mkono wa Bwana ni juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda kitambo. Marra kiwi kikamwangukia na giza, akazungukazunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo