Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 22:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uende hatta Dameski, na huko utaambiwa khabari za mambo vote yaliyoamriwa uyafanye.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Basi, mimi nikauliza, ‘Nifanye nini Bwana?’ Naye Bwana akaniambia, ‘Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Basi, mimi nikauliza, ‘Nifanye nini Bwana?’ Naye Bwana akaniambia, ‘Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Basi, mimi nikauliza, ‘Nifanye nini Bwana?’ Naye Bwana akaniambia, ‘Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Nikauliza, ‘Nifanye nini, Bwana?’ “Naye Bwana Isa akaniambia, ‘Inuka uingie Dameski, huko utaambiwa yote unayopaswa kufanya.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Nikauliza, ‘Nifanye nini, Bwana?’ “Naye Bwana Isa akaniambia, ‘Inuka uingie Dameski, huko utaambiwa yote yakupasayo kufanya.’

Tazama sura Nakili

Matendo 22:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Marra nikatuma watu kwako, nawe umefanya vyema kuja. Bassi sasa sisi sote tupo hapa mbele za Mungu, tupate kuyasikiliza maneno yote uliyoamriwa na Mungu.

kiisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?

Na nilipokuwa sioni kwa sababu ya fakhari ya nuru ile, nikaongozwa na mikono yao waliokuwa pamoja nami, nikafika Dameski.

Lakini simama, uingie mjini, utaambiwa yatakayokupasa kutenda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo