Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 na baada ya kuagana tukapanda merikebuni, nao wakarudi kwao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli, nao wakarudi makwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Baada ya kuagana, tukapanda kwenye meli, nao wakarudi manyumbani mwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao.

Tazama sura Nakili




Matendo 21:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akaondoka, akaenda kwa baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamhurumia, akapiga mbio, akamwangukia shingoni, akambusu sana.


Alikuja kwake, nao walio wake hawakumpokea.


Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.


Baadae akamwambia mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua kwake.


Wakaenda killa mtu nyumbani kwake:


sikupata raha nafsini mwangu, kwa sababu sikumwona Tito ndugu yangu, bali niliagana nao, nikaondoka kwenda Makedonia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo