Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Wewe si vnle Mmisri ambae kabla ya siku hizi aliwafitinisha wale watu elfu nne, walioitwa Wauaji, akawaongoza jangwani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Kwani wewe si yule Mmisri ambaye hivi majuzi alianzisha uasi na kuwaongoza majahili 4,000 hadi jangwani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Kwani wewe si yule Mmisri ambaye hivi majuzi alianzisha uasi na kuwaongoza majahili 4,000 hadi jangwani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Kwani wewe si yule Mmisri ambaye hivi majuzi alianzisha uasi na kuwaongoza majahili 4,000 hadi jangwani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Je, wewe si yule Mmisri ambaye siku hizi za karibuni alianzisha uasi akaongoza kundi la magaidi elfu nne wenye silaha jangwani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Je, wewe si yule Mmisri ambaye siku hizi za karibuni alianzisha uasi akaongoza kundi la magaidi 4,000 wenye silaha jangwani?”

Tazama sura Nakili




Matendo 21:38
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wakiwaamhieni, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.


M kheri ninyi watakapowatukana na kuwatesa na kuwanenea killa neno baya kwa uwongo, kwa ajili yangu.


Palikuwa na mtu aitwae Barabba, amefungwa pamoja na watu waliofanya fitina na kufanya uuaji katika fitina.


Nae ni mtu aliyetiwa gerezani kwa sababu ya fitina iliyofanyika mjini, na kwa uuaji.


tukisingiziwa twasihi: tumefanywa kama takataka za dunia, na kifusi cha vitu vyote hatta sasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo