Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, Mwondoe huyu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Umati wa watu waliofuata waliendelea kupaza sauti na kusema, “Mwondoe huyu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Umati wa watu ulikuwa ukifuata ukiendelea kupiga kelele ukisema, “Mwondoe huyu!”

Tazama sura Nakili




Matendo 21:36
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mchukue huyu, tufungulie Barabba.


Bassi wale wakapiga kelele, Mwondoshe, mwondoshe, msulibishe. Pilato akawaambia, Nimsulibishe mfalme wenu? Makuhani wakuu wakajibu, Hatuna mfalme illa Kaisari.


Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika inchi, kwa maana haifai aishi.


Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.


tukisingiziwa twasihi: tumefanywa kama takataka za dunia, na kifusi cha vitu vyote hatta sasa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo