Matendo 21:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Ndipo Paolo akawatwaa wanaume wale, na siku va pili yake akajitakasa nafsi yake pamoja nao, akaingia ndani ya hekalu, akitangaza khabari ya kutimiza siku za utakaso, hatta sadaka itolewe kwa ajili ya kilia mmoja wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, kesho yake Paulo aliwachukua wale watu akafanya ibada ya kujitakasa pamoja nao. Kisha akaingia hekaluni kutoa taarifa kuhusu mwisho wa siku za kujitakasa na kuhusu tambiko itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, kesho yake Paulo aliwachukua wale watu akafanya ibada ya kujitakasa pamoja nao. Kisha akaingia hekaluni kutoa taarifa kuhusu mwisho wa siku za kujitakasa na kuhusu tambiko itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, kesho yake Paulo aliwachukua wale watu akafanya ibada ya kujitakasa pamoja nao. Kisha akaingia hekaluni kutoa taarifa kuhusu mwisho wa siku za kujitakasa na kuhusu tambiko itakayotolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ndipo kesho yake Paulo akaenda na wale watu, akajitakasa pamoja nao. Akaingia ndani ya Hekalu ili atoe taarifa ya tarehe ambayo siku zao za utakaso zingemalizika na sadaka ingetolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Ndipo kesho yake Paulo akawachukua wale watu na akajitakasa pamoja nao. Akaingia ndani ya Hekalu ili atoe taarifa ya tarehe ambayo siku zao za utakaso zingemalizika na sadaka ingetolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. Tazama sura |