Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Bassi fanya neno hili tunalokuambia: Wako kwetu watu wane waliofungwa na nadhiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Basi, fanya kama tunavyokushauri. Tunao hapa watu wanne ambao wameweka nadhiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tuna watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.

Tazama sura Nakili




Matendo 21:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Paolo akazidi kukaa huko siku nyingi, kiisha akaagana na ndugu akatweka kwenda Shami; na Priskilla na Akula wakaenda pamoja nae, alipokwisha kunyoa kichwa chake katika Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.


Bassi, ni nini? Bila shaka mkutano hauna buddi kukutanika, kwa maana watasikia kwamba umekuja.


Nalikuwa Myahudi kwa Wayahudi, illi niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sharia, nalikuwa kama chini ya sharia, illi niwapate walio chini ya sharia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo