Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Tulipolika Yerusalemi ndugu wakatukaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Tulipofika Yerusalemu, ndugu waumini walitupokea vizuri sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Tulipofika Yerusalemu, ndugu waumini walitupokea vizuri sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Tulipofika Yerusalemu, ndugu waumini walitupokea vizuri sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Tulipofika Yerusalemu, ndugu wakatukaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Tulipofika Yerusalemu ndugu wakatukaribisha kwa furaha.

Tazama sura Nakili




Matendo 21:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


Walipofika Yerusalemi wakakaribishwa na Kanisa na mitume na wazee, nao wakawaeleza mambo yote Mungu aliyoyafanya pamoja nao.


Hatta tulipomaliza safari yetu kutoka Troa tukafika Ptolemai, tukawasalimu ndugu tukakaa kwao siku moja.


Kwa hiyo mkaribishane, kama nae Kristo alivyotukaribisha, illi Mungu atukuzwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo