Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Alipokataa shauri letu, tukanyamaza, tukisema. Mapenzi ya Bwana na yatendeke.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Tuliposhindwa kumshawishi tulinyamaza, tukasema tu: “Atakalo Bwana lifanyike!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Tuliposhindwa kumshawishi tulinyamaza, tukasema tu: “Atakalo Bwana lifanyike!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Tuliposhindwa kumshawishi tulinyamaza, tukasema tu: “Atakalo Bwana lifanyike!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Alipokataa kushawishika, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na yatendeke.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na yatendeke.”

Tazama sura Nakili




Matendo 21:14
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba, akinena, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kinipitie; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.


Akaenda tena marra ya pili, akaomba, akinena, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kinipitie nisipokinywa, bassi, mapenzi yako yafanyike.


Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.


Akawaambia, Msalipo, semeni: Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako takatifu litukuzwe.


Baba, ukipenda, uniondolee kikombe hiki: lakini si kama nitakavyo mimi, illa utakavyo wewe vifanyike.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo