Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 21:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 IKAWA tulipokwisha kujitenga nao ua kutweka, tukafika Koos kwa tanga moja, na siku ya pili yake tukafika Rodo na kutoka huko tukafika Patara,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Tulipokwisha agana nao, tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika Rode, na kutoka huko tulikwenda Patara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Tulipokwisha agana nao, tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika Rode, na kutoka huko tulikwenda Patara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Tulipokwisha agana nao, tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika Rode, na kutoka huko tulikwenda Patara.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Tulipokwisha kujitenga nao, tukasafiri kwa meli moja kwa moja hadi Kosi. Siku ya pili yake tukafika Rodo, na kutoka huko tukaenda Patara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Tulipokwisha kujitenga nao, tukaanza safari kwa njia ya bahari moja kwa moja mpaka Kosi. Siku ya pili yake tukafika Rodo na kutoka huko tukaenda Patara.

Tazama sura Nakili




Matendo 21:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kusema, akamwambia Simon, Sogea hatta kilindini, mkashushe nyavu zenu kwa uvuvi.


Ikawa siku mojawapo ya siku zile akapanda chomboni, yeye na wanafunzi wake, akawaambia, Na tuvuke hatta ngʼambu ya ziwa: wakatweka matanga.


Tukapanda katika merikebu ya Adramuttio iliyokuwa tayari kusafiri hatta miji ya pwani za Asia, tukatweka; Aristarko, Mmakedoni wa Thessalonika, akiwa pamoja nasi.


Kutoka huko tukatweka, tukasafiri chini ya Kupro illi kuukinga upepo, kwa maana pepo zilikuwa za mbisho,


Lakini sisi, ndugu, tukifarakana nanyi kwa kitambo, kwa nso si kwa moyo, tulitamani zaidi kuwaona nyuso zenu, kwa shauku nyingi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo