Matendo 20:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Palikiuwa na taa nyingi katika orofa ile walipokuwa wamekusanyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Katika chumba tulimokuwa, ghorofani, kulikuwa na taa nyingi zinawaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwenye chumba cha ghorofani walimokuwa wamekutania kulikuwa na taa nyingi. Tazama sura |