Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 20:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Wakalia sana wote, wakamwangukia Paolo shingoni, wakambusu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,

Tazama sura Nakili




Matendo 20:37
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akaondoka, akaenda kwa baba yake. Alipokuwa angali mbali, baba yake akamwona, akamhurumia, akapiga mbio, akamwangukia shingoni, akambusu sana.


Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu.


Ndugu wote wawasalimu. Kasalimianeni kwa busu takatifu.


Salimianeni kwa busu takatifu.


Wasalimuni ndugu kwa husu takatifu.


nikikumbuka machozi yako, illi nijae furaha;


Nae atafuta killa chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena: wala maombolezo, wala kilio, wala taabu haitakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.


Kwa maana Mwana Kondoo aliye kati kati ya kiti cha enzi atawachunga, nae atawaongoza kwenye chemcheni za inaji yenye uhayi, na Mungu atayafuta machozi yote katika macho yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo