Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 20:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Kwa hiyo nawashuhudia wote siku hii ya leo, ya kuwa mimi sina khatiya kwa damu ya mtu aliye yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Hivyo, leo hii ninawathibitishieni rasmi kwamba ikijatokea akapotea mmoja wenu, mimi sina lawama yoyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa hiyo nawatangazia leo, sina hatia ya damu ya mtu yeyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa hiyo nawatangazia leo, sina hatia ya damu ya mtu awaye yote.

Tazama sura Nakili




Matendo 20:26
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi wakamshuhudia makutano waliokuwa pamoja nae alipomwita Lazaro kutoka kaburini akamfufua.


Nae aliyeona ameshuhudu, na ushuhuda wake ni kweli; na yeye anajua ya kuwa asema kweli, ninyi mpate kuamini.


Walipopingamana nae na kutukana, akakungʼuta mavazi yake, akawaambia, Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu: mimi ni safi: langu sasa nitakwenda kwa watu wa mataifa.


Kwa maana nawashuhudia kwamba wana wivu kwa ajili ya Mungu, lakini hauna msingi wa maarifa.


Lakini mimi namwitia Mungu awe shahidi juu ya roho yangu, ya kwamba, kwa kuwahurumia sijaenda Korintho.


Tupeni nafasi mioyoni mwenu. Hatukumdhulumu mtu, hatukumharibu mtu, hatukumkalamkia mtu.


Maana nawashuhudia, kwa uwezo wao, na zaidi ya uwezo wao,


Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usishiriki dhambi za watu wengine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo