Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 20:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio: siku ya pili yake tukawasili Samos, tukakaa Trogullio, siku ya pili tukafika Mileto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kutoka huko tulisafiri tukafika Kio kesho yake. Siku ya pili, tulitia nanga Samo na kesho yake tukafika Mileto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kutoka huko tuliendelea kwa meli, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kutoka huko tuliendelea kwa njia ya bahari, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.

Tazama sura Nakili

Matendo 20:15
3 Marejeleo ya Msalaba  

Alipotufikia huko Asso, tukampokea, tukafika Mitulene.

Toka Mileto Faolo akatuma watu kwenda hatta Efeso, akawaita wazee wa Kanisa.

Trofimo nalimwacha Mileto, hawezi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo