Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 20:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Alipotufikia huko Asso, tukampokea, tukafika Mitulene.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Basi, alitukuta kule Aso, tukampandisha melini, tukaenda Mitulene.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Alipotukuta huko Aso, alijiunga nasi kwenye meli, tukasafiri hadi Mitilene.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene.

Tazama sura Nakili




Matendo 20:14
2 Marejeleo ya Msalaba  

Sisi tukatangulia kwenda merikebuni, tukasafiri hatta Asso, tukikusudia kumpokea Paolo huko: kwa maana ndivyo alivyoagiza, yeye mwenyewe akiazimu kwenda kwa miguu.


Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio: siku ya pili yake tukawasili Samos, tukakaa Trogullio, siku ya pili tukafika Mileto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo