Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 20:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akapanda juu tena, akamega mkate, akala, akazidi kuongea nao hatta alfajiri, ndipo akaenda zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kisha akapanda tena ghorofani, akamega mkate, akala. Aliendelea kuhubiri kwa muda mrefu hadi alfajiri, halafu akaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kisha akapanda tena ghorofani, akamega mkate, akala. Aliendelea kuhubiri kwa muda mrefu hadi alfajiri, halafu akaondoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kisha akapanda tena ghorofani, akamega mkate, akala. Aliendelea kuhubiri kwa muda mrefu hadi alfajiri, halafu akaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kisha Paulo akapanda tena ghorofani, akamega mkate na kula. Baada ya kuongea hadi mapambazuko, akaondoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kisha Paulo akapanda tena ghorofani, akamega mkate na kula. Baada ya kuongea mpaka mapambazuko, akaondoka.

Tazama sura Nakili




Matendo 20:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.


Wakamleta yule kijana, yu mzima, wakafarajika faraja kubwa sana.


Hatta siku ya kwanza ya juma, wanafunzi walipokusanyika illi kumega mkate, Paolo akawakhutubu, akaazimu kusafiri siku ya pili yake, akafuliza maneno yake mpaka nsiku wa manane.


Kijana mmoja, jina lake Eutuko, ameketi dirishani, akalemewa na usingizi, akaanguka toka orofa ya tatu: akainuliwa amekwisha kufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo