Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 20:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Paolo akashuka, akamwangukia, akamkumbatia, akasema, Msifanye ghasia, maana uzima wake ungalimo ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Lakini Paulo alishuka chini, akainama, akamkumbatia na kusema, “Msiwe na wasiwasi maana kuna uhai bado ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Lakini Paulo alishuka chini, akainama, akamkumbatia na kusema, “Msiwe na wasiwasi maana kuna uhai bado ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Lakini Paulo alishuka chini, akainama, akamkumbatia na kusema, “Msiwe na wasiwasi maana kuna uhai bado ndani yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Paulo akashuka chini, akajitupa juu yake na kumkumbatia, akasema, “Msishtuke, bado yuko hai!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Paulo akashuka chini, akajitupa juu yake na kumkumbatia, akasema, “Msishtuke, uzima wake bado umo ndani yake.”

Tazama sura Nakili




Matendo 20:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kuingia, akawaambia, Mbona mnafanya ghasia na kulia? Mtoto hakufa, bali amelala tu. Wakamcheka sana.


Na Bwana alipomwona, akamhurumia, akamwambia, Usilie.


Aliyasema haya: kiisha baada ya liaya akawaambia, Lazaro rafiki yetu amelala; lakini ninakwenda nipate kumwamsha.


Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.


Kijana mmoja, jina lake Eutuko, ameketi dirishani, akalemewa na usingizi, akaanguka toka orofa ya tatu: akainuliwa amekwisha kufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo