Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Imekuwaje bassi sisi kusikia killa mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Imekuwaje, basi, kwamba kila mmoja wetu anawasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa?

Tazama sura Nakili

Matendo 2:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Zakaria babae akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akinena,

Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Si hawa wote wasemao Wagalilaya?

Waparthi na Wamedi na Waelamiti, nao wakaao Mesopotamia, Yahudi ua Kappadokia, Ponto na Asia,

Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kiisha miujiza, kiisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na kutawala, na aina za lugha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo