Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana, Si hawa wote wasemao Wagalilaya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Walistaajabu na kushangaa wakisema, “Je, hawa wote tunaowasikia wakisema hivi, si wenyeji wa Galilaya?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakiwa wameshangaa na kustaajabu, wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakiwa wameshangaa na kustaajabu wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?

Tazama sura Nakili




Matendo 2:7
12 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


Punde kidogo, wale waliosimama karibu wakamwendea, wakamwambia Petro, Hakika na wewe u mmoja wao; maana hatta usemi wako wakutambulisha.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!


Akaondoka marra, akajitwika kitanda chake, akatoka mbele yao wote; hatta wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakinena, Namna hii hatujapata kuyaona kamwe.


Wakajibu, wakamwambia, Wewe nawe umetoka Galilaya? Tafuta, ukaone ya kuwa kutoka Galilaya hakutokea nabii.


wakasema, Watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi hiyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni.


Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?


Imekuwaje bassi sisi kusikia killa mtu lugha yetu tuliyozaliwa nayo?


Wakamtambua, ya kuwa yeye ndiye aliyekuwa ameketi na kuomba sadaka penye mlango mzuri wa hekalu: wakajaa ushangao wakastaajabia mambo yale yaliyompata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo