Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawiana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Waumini wote walikuwa mahali pamoja, nao wakashirikiana katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.

Tazama sura Nakili




Matendo 2:44
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na jamii ya watu walioamini walikuwa moyo mmoja na roho moja: wala hapana mmoja aliyesema ya kuwa kitu cho chote alicho nacho ni mali yake mwenyewe; bali walikuwa na vitu vyote shirika.


alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume.


akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe nae akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.


Ulipokuwa kwako, haukuwa mali yako? Na ulipokuwa umekwisha kuuzwa haukuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hatta ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uwongo mwana Adamu, bali Mungu.


Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yetu, alipokuwa tajiri, illi ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo