Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Nao waliolipokea neno lake kwa furaha wakabatizwa: na siku ile wakazidishiwa watu wapata elfu tatu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao 3,000 wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa, na siku ile waliongezeka watu wapatao elfu tatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000.

Tazama sura Nakili




Matendo 2:41
21 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, amin, nawaambieni, Aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi na yeye atazifanya; atafanya na kubwa kuliko hizi, kwa kuwa nashika njia kwenda kwa Baba.


Bassi Simon Petro akapanda chomboni, akalivuta jarife pwani, limejaa samaki kubwa, mia na khamsini na tatu: na ijapokuwa zilikuwa nyingi namna hii, jarife halikupasuka. Yesu akawaambia, Njoni mle.


Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini.


Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu?


wakimsifu Mungu, na kuwapendeza wutu wote. Bwana akalizidisha kanisa killa siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.


Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu miateen na sabaini na sita.


Na itakuwa ya kwamba kilia mtu asiyemsikiliza nabii huyo ataangamizwa na kutengwa na watu wake.


Lakini wengi katika hao waliosikia lile neno waliamini: na hesabu ya watu ilikuwa kama elfu tano.


Yusuf akatuma watu akamwita Yakobo baba yake na jamaa zake wote pia, watu sabaini na watano.


KILLA nafsi itumikie mamlaka makuu; kwa maana hapana mamlaka yasiyotoka kwa Mungu: na mamlaka yaliyopo yameamriwa na Mungu.


Mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea Neno katika mateso mengi pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu,


akawakhubiri watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ndani yake watu wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.


Malaika wa pili akakimimina kichupa chake juu ya bahari, pakawa damu kama damu ya mfu, na vitu vyote vyenye roho va uhayi vikafa katika bahari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo