Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Maana Daud hakupanda mbinguni: bali yeye mwenyewe amesema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Maana Daudi mwenyewe, hakupanda mpaka mbinguni; ila yeye alisema: ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti upande wangu wa kulia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, “ ‘bwana Mwenyezi alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

Tazama sura Nakili




Matendo 2:34
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Na hapana mtu aliyepanda mbinguni, illa yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, Mwana wa Adamu alioko mbinguni.


Hatta nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.


Maana sharti amiliki yeye, hatta awaweke maadui wote chini ya miguu yake.


akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajiii ya kanisa,


Je! yuko malaika aliyeambiwa nae maneno haya wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume hatta nitakapoweka adui zako chiui ya nyayo zako?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo