Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 2:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 akitangulia kuyaona haya, alitaja khabari za kufufuka kwake Kristo, ya kama roho yake haikuachwa katika kuzimu, wala mwili wake hankuona uharibifu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na Mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa Kristo wakati aliposema: ‘Hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Daudi, akiona mambo yaliyo mbele, akanena kuhusu kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Al-Masihi, kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matendo 2:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe Kapernaum, uliyeinuliwa hatta mbinguni, utashushwa hatta kuzimu: kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwako, ingalifanyika katika Sodom, ungalikuwapo hatta leo.

Kwa hiyo na penginepo anena, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Kwa maana hutaniacha roho yangu katika kuzimu: Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.

na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;

Na andiko, likiona tangu zamani kwamba Mungu atawafanyizia mataifa wema kwa imani, lilimkhubiri Ibrahimu Injili zamani, ya kama, Kwa wewe mataifa yote yatabarikiwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo