Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 2:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Umenifundisha njia ya uzima; Utanijaza furaha kwa uso wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Umenionesha njia za uhai, umenijaza furaha kwa kuwako kwako!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Umenionesha njia za uhai, umenijaza furaha kwa kuwako kwako!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Umenionesha njia za uhai, umenijaza furaha kwa kuwako kwako!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Umenionesha njia za uzima, utanijaza na furaha mbele zako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Umenionyesha njia za uzima, utanijaza na furaha mbele zako.’

Tazama sura Nakili




Matendo 2:28
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Ndimi niliye njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba bila kwa mimi.


Kwa maana hutaniacha roho yangu katika kuzimu: Wala hutamtoa Mtakatifu wako aone uharibifu.


Ndugu, mniwie radhi, niseme pasipo khofu mbele yenu khabari za baba yetu mkuu Daud, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hatta leo.


tukimtazama Yesu, aliveianzisha imani yetu na kuitimiliza; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele zake aliuvumilia msalaba na kuidharau aibu, nae ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo